Makusanyiko Yetu ya Kimataifa na ya Pekee
Katika nyakati za kale, watumishi wa Mungu walipohudhuria sherehe za kila mwaka na makusanyiko mengine yaliyoandaliwa kwa ajili ya ibada, waliimarishwa sana kiroho. Hayo yalikuwa matukio yaliyofurika shangwe.—Kutoka 23:15, 16; Nehemia 8:9-18.
Katika siku zetu, makusanyiko ya eneo ya kila mwaka huwaburudisha kiroho na kuwaimarisha Mashahidi wa Yehova na kuwapa fursa ya kufurahia kushirikiana na Wakristo wenzao. Makusanyiko ya kimataifa na ya pekee ambayo huandaliwa kwenye nchi mbalimbali hutoa ushahidi mkubwa, huandaa nafasi ya kujionea uhalisi wa kwamba tengenezo letu limefanyizwa na watu kutoka kila mahali, na kutoa kionjo cha maisha katika ulimwengu mpya.
Tunafurahi kutoa orodha ya majiji ambayo makusanyiko haya yatafanyika.

2020
Finland
Helsinki
Jamhuri ya Cheki
Prague
Jamhuri ya Dominika
Santo Domingo
Nigeria
Abuja
Nikaragua
Managua
Paraguay
Asunción
Togo
Lomé
Uswizi
Zurich
2019
Afrika Kusini
Johannesburg
Marekani
Atlanta
Argentina
Buenos Aires
Ecuador
Guayaquil
Marekani
Houston (Kihispania)
Marekani
Houston (Kiingereza)
Marekani
Miami (Kihispania)
Marekani
Miami (Kiingereza)
Mexico
Monterrey
Marekani
Phoenix
Brazili
São Paulo
Marekani
St. Louis
Canada
Toronto
Filipino
Manila
Korea Kusini
Seoul
Australia
Melbourne
Ugiriki
Athens
Ujerumani
Berlin
Denmark
Copenhagen
Ureno
Lisbon
Hispania
Madrid
Ufaransa
Paris
Uholanzi
Utrecht
Poland
Warsaw